Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza watu wengi nchini Kenya, vijana hao walianzia TikTok,inafurahisha sana kuona vijana wa Generation Z...
Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia
Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema
Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano.
Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni.
Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
Rais Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa muda wowote kuanzia sasa. Hii limekuja baada ya Rais Ruto kukataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Usikae mbali kufuatilia updates zaidi
https://www.youtube.com/watch?v=4xsmE0ko9jw
Ruto atoa salamu za pole kwa waandamaji wote waliopoteza...
Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais Ruto anatarajia kuurudisha Mswada huo Bungeni kabla ya Bunge kuvunjwa baadaye leo.
Rais Ruto...
Vijana mumeitikisa nchi ikatikisika, mumenikumbusha enzi zetu wakati tulikua tunapigania demokrasia ya vyama viwili, na pia enzi za katiba mpya, ni faraja sana kujua nchi bado iko salama na kwamba hatokuja chizi yeyote na kuharibu tuliyoyapigania, na kwamba mkiitwa mnaitika na kujitokeza nchi...
Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa.
Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama
Inatisha.
Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia
Uhuru Kenyatta
Rais wa mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuhusu maandamano yanayoendelea dhidi ya Muswada wa Fedha.
Kiongozi huyo wa zamani wa taifa alituma salamu zake za rambirambi kwa Wakenya waliopoteza maisha yao wakati wa maandamano ya Jumanne, akisema ilikuwa haki yao ya...
Rais William Ruto Jumanne usiku alielezea uvunjaji wa bunge kama kitendo cha uhaini, na akaahidi kuchukua hatua kali dhidi ya waandaaji na wafadhili wa maandamano, ambayo yalikuwa yameingia siku ya tano.
Rais Ruto alikuwa akihutubia taifa baada ya siku ya maandamano ambayo yalisababisha vifo...
Kwa hiki kinachoendelea Kenya na kinachofanywa na vijana dhidi ya ongezeko la gharama za maisha ni tahadhari kwa viongozo waliopo madarakani nchini mwetu.
Kawaida, mwanadamu yeyote ana kiwango cha uvumilivu hususani pale anapokosa uhakika wa Kesho tonana na ugumu wa maisha, kukosa ajira...
Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
Salaam Wakuu,
Kumekuwa na video inasambaa siku hache zilizopita zikidai kuwa Waandamanaji Kenya wameiba farasi wa polisi na kukimbia nao.
Video hiyo inamuonesha mwananchi anayedaiwa amepora farasi huyo akimuongoza farasi huyo kwa kasi na ustadi mkubwa. Nimeona sehemu inadaiwa yule si...
Vijana waandamanaji wa Gen Z wameonya Wachungaji na Mapadre kutoruhusu Harambee za Wanasiasa kesho na wale watakaokaidi watakuona Cha moto
Gen Z wamesema kesho watatawanyika katika Makanisa yote kuzuia Harambee za Wanasiasa na Hata Harambee ya Rais Ruto wataizuia
Source: Citizen TV
PIA SOMA
-...
Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa nikajiuliza ikiwa sisi waafrika tunataka kujitegemea kiuchumi, nivipi tutaweza kuziepuka hizi kodi...
1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo.
2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr Rais William S. Ruto
3. Tuna ya kujifunza hapa?
---
Despite widespread protest in the country, the...