maandamano iran

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    Trump adai Mauaji Iran Yamesitishwa, lakini kama hali bado ni tete nchi humo

    Rais wa Marekani Donald Trump ameongelea hali ya usalama nchini Iran. Katika kauli yake ya hivi punde, Trump amewahakikishia watu kuwa mivutano na mauaji yanayoripotiwa nchini humo yamefika kikomo. Trump ameongelea mambo muhimu mawili: Kukoma kwa Mauaji: Trump amesema amearifiwa kuwa mauaji...
  2. ELI COHEN

    Picha zikionesha mamia ya mifuko ya watu waliouliwa na Serikali ya Iran inayoongzwa na Ayatollah

    Picha zikionyesha mamia ya mifuko myeusi ya maiti ikiwa imepangwa ndani na nje ya Kituo cha Uchunguzi wa Kimatibabu cha Kahrizak, mojawapo ya mochari kubwa pembezoni mwa jiji la Tehran Vyombo vya habari vya kimataifa vimedhibitisha uhalisia wa picha hizo Shirika la Human Rights Activists News...
  3. Echolima1

    Maandamano Iran katika picha!!

    Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
  4. MK254

    Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

    Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo. Mayatollah wanalo..... ===================== Protesters in Iran have marched through the streets of...
  5. kavulata

    Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
Back
Top Bottom