maandamano dhidi ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    GE2025 Kwa namna serikali ilivyochukua hatua za haraka kero ya Mwendokasi Kimara Maandamano October 29 ni Muhimu sana

    GT Kikishanuka impact ni kubwa sana hata kama Samia hatatoka madarakani lakini lazima kuna mambo itamlazimu kufanya kukidhi matakwa ya wandamanaji. Hakuna maandamo yataisha bila kutekelezwa kwa baadhi ya mambo, na jambo kubwa kuliko lote nchi ikilipuka kwa maandamo hakuna wa kuzuia hata hao...
  2. M

    Tuache unafki, humu ndani tarehe 29 zaidi ya asilimia 95% tutajifungia ndani, ujasiri wetu upo mitandaoni tu, ila ni waoga sana

    😂😂😂 Kwani nadanganya wakuu ? Wengi wameplan kununua nyama washinde ndani siku nzima, kununua bando la kutosha siku iishe, kwenda vacation, kuangalia series, n.k.
  3. Matovu Godfrey

    GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 13! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 1. Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi hutumika kama nyenzo za kutekeleza utawala wao wa muda mrefu na kuficha ukatili, dhuluma, dhuluma...
  4. Lord Denning

    GE2025 Mafisadi matumbo joto: Kuwatishia Wananchi hakutawasaidia. Ondokeni kwa amani tuijenge nchi yetu kwa mikono ya jasho

    Mmegeuza nafasi za kisiasa kama vijiwe rasmi vya kujikusanyia utajiri wa kufuru mkichota kodi za Watanzania masikini kwa faida zenu na familia zenu. Mnafanya haya huku Watanzania tukiishi maisha magumu ya umasikini na tulikosa huduma za msingi kama matibabu hospitalini, maji safi na salama, dawa...
  5. Beira Boy

    GE2025 Aliyepanga maandamano alipanga iwe Tarehe 28 ila akabadilisha kuwa Tarehe 29. Kwanini ilibadilishwa?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Toka mwanzo maandamano walitangazwa kuwa yatakuwa tarehe 28 siku moja kabla ya uchaguzi lakin bahati nzuri kabisa wazee wa suti nyeusi wakabadilisha hiyo tarehe kwa kumwambia huyo muundaa maandamano kuwa lazima yawe siku ya uchaguzi wenyewe...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Afande Sele: Vijana acheni mihemko ya maandamano

    Mwanamuziki wa Hiphop, Selemani Msindi Afande Sele amewataka Watanzania hususani vijana kuacha kuwa na mihemko ya kushiriki maandamano badala yake washiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kutoshiriki ni kujinyima haki ya kikatiba. Akizungumza na JAMBO TV...
  7. Scared

    Wanasema wanajeshl wapo na sisi cha ajabu eti wanasema tuanze sisi kuandamana tarehe 29 hapa hamna kitu

    Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tuanze kuandamana wao watatulinda hivi Hawa watu wanatuchukuliaje. Hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo hamna shujaa mbele ya risasi
  8. 100 others

    Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Wanaoshawishi fujo wana pa kwenda, familia zao haziko Tanzania

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kushawishika na watu wenye nia ovu kuharibu amani ya nchi, kwani wanaofanya hivyo wanapo pakukimbilia
  10. Lord Denning

    GE2025 Wito kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Simameni na Wananchi tarehe 29 Oktoba, 2025

    Sote tunafahamu kuwa Taifa letu hivi sasa linaangamizwa kwa kutisha na rushwa kubwa zinazofanywa na Wanasiasa na familia zao bila kusahau Viongozi wachache wa Serikali na vyombo ya Ulinzi na Usalama. Haya yanafanyika huku Watanzania wengi wakikosa huduma bora za msingi kama Maji safi na salama...
  11. K

    GE2025 Gharama ni nafuu zaidi kubadili utawala kabla kuliko baada ya Oktoba 29

    Nalenga gharama za uhai, maisha, damu na mali za waTanzania. kutishiwa maisha kwa watanzania. Sote tunaelewa ilivyo kawaida siku hizi; Watanzania kutishiwa maisha yao wanapotaka kudai haki zao kwa kufanya maandamano ya amani. Polisi ndio wako mstari wa mbele kutishia uhai wa watu endapo...
  12. canular

    Acheni vitisho kwani Watanzania wana haki ya kuandamana kwa mujibu wa Katiba. Sisi wajinga kama mnavyofikiria

    Onyo rasmi kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, vikijumuisha polisi, usalama, na majeshi yote: Vyombo vyote vinatakiwa kutambua na kuheshimu maamuzi ya Watanzania ya kuandamana nchini kote kupinga ufisadi na ukiukwaji wa sheria na haki za raia, hatua ambayo imepangwa...
  13. JanguKamaJangu

    UAE yawafunga raia 57 wa Bangladesh kutokana na maandamano dhidi ya Serikali

    Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao. Washtakiwa watatu kati ya hao ambao hawakutajwa majina walihukumiwa kifungo cha maisha kwa "kuchochea ghasia katika mitaa...
Back
Top Bottom