maandamanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kama nguvu ya vitisho itatumika tena basi tutarajie D12. Yapo mambo kadhaa ya kufanya kupunguza tension na mgogoro

    Maandalizi ya Sabato yanasemaje? 1. Ndugu zangu kuna msemo unasema mtu mzima hatishiwi Nyau. Ule msemo unaamana kubwa sana. Ambayo hivi karibuni umetaka kudhihirika machoni petu. 2. Tumeona vyombo vya dola na usalama vikitumia nguvu kubwa kabla na wakati wa uchaguzi. Vitisho, utekaji na sasa...
  2. JOANNA

    "General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

    Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda. Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu...
  3. Mafyangula

    GE2025 Sheikh: Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini

    Ndugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano! Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!! =============== Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini huo ndio utaratibu wa maandamano kwa Tanzania na Dunia...
  4. S

    Aisee!! Maandamano ya 29.10.2025, mambo ni moto. Hongera kwa wapigania haki

    Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana. Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma. Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
  5. The Burning Spear

    Gen Z Tukiamua CCM na police wao ni Wepesi sana. Huwezi kupambana na umma kwa risasi ukashinda hata siku moja

    GT. Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira. Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba eti kama kuna mtu anataka.kufa ajitokeza kufanya vurugu.ah ha 😄 😆 huwa nawaangalia nawashangaa...
  6. baz kaiza

    GE2025 Tarehe 29 Oktoba hakuna Maandamano. Ila serikali iwe makini hizi sauti zinazodai maandamano ni Nyingi

    Watawala wa Tanzania wamekua na tabia ya kuishi na kutawala kwa mazoea. Kwa sasa serikali iwe makini na CCM sauti zinazodai maandamano ni nyingi na zinazidi kuongezaka zinazotaka mabadiliko. Usipo ziba ufa utajenga ukuta. Watanzania sasa hivi mazindiko yenu hayawashiki tena wananchi watanzania...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Wife kaniomba anataka naye ashiriki kupania UHURU wa nchi, nimetoka kumwambia hiyo ni haki yake

    Nimefurahi mke wangu kachoma vitenge anaunga juhudi jambo la kiungwana na utu.
  8. I

    Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

    Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani. Ukiangalia miaka...
Back
Top Bottom