Kupitia kikao cha CMT ya Mapato cha Tarehe 19/01/2026 iliazimiwa kuwa Watendaji Wote wa Kata na Mitaa wahamasishe Wananchi walio katika Maeneo yao ambao wanamiliki Majengo ya Ghorofa kuyapaka rangi, kuweka pavement pamoja na kuweka taa katika Majengo yao ili kufanya Halmashauri yetu ya Kinondoni...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla Jumanne Februari 04, 2026 ametangazwa kuundwa kwa Kamati Saba Maalumu kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Mpira wa Miguu kwa Mataifa ya Afrika, AFCON 2027.
Mbele ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri, Makatibu Tawala...
Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027??
Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.