maajabu ya dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Maajabu ya Dunia! Mbona sizioni pongezi za machawa, makampuni, kulikoni?

    Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
  2. Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia.. Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la...
  3. Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  4. Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

    Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja. Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya...
  5. Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  6. M

    Maajabu ya dunia: Ndege yaondoka Hongkong 2025 yafika Marekani 2024

    Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024. Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
  7. Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

    Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
  8. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  9. Aweka rekodi baada ya kushiriki ngono na Wanaume 919 ndani ya saa 24

    Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa gharama ya sehemu zake za siri. Sparks, mwigizaji wa filamu za ngono anayejulikana kwa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…