maafisa usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    Boda boda jipendeni wenyewe serikali haitakujaga iwajali hakika

    Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko hata kichwa Cha mwanadamu. Kuruhusu helmet feki ni sawa na kuruhusu vifaa tiba au dawa feki kwani...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Maafisa Usafirishaji Pwani Wapinga Vikali Tuhuma za Uhusika Katika Vurugu za Oktoba 29

    Naona ndugu zangu wamechoka kuchafuliwa! Ila kama mnakataa kwa hiari yenu sawa lakini kama mnatumika kisiasa basi mtazidi kuharibu ============= Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Pwani, umetoa tamko la kupinga na kulaani vikali tuhuma za kuhusishwa na vitendo vya vurugu, vilivyotokea Oktoba...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Maafisa usafirishaji watakiwa kudumisha amani wakati na baada ya uchaguzi

    Wasafirishaji abiria wanaotumia pikipiki maarufu Bodaboda na Bajaji Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari mbele kudumisha amani na kamwe wasiruhusu kushawishiwa kujiingiza katika vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  4. McLaren

    GE2025 Waziri Stergomena Tax: Maafisa Usafirishaji nyie ni watu muhimu sana. Mna mchango mkubwa katika kutunza amani

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, Mhe. Dkt. Stergomeana Tax, amewataka maafisa usafirishaji kwa njia ya pikipiki (bodaboda), kote nchini kuwa mabalozi wazuri wa kulinda amani ya nchi, hususani katika kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu wawapo katika shughuli zao kwani...
  5. R

    GE2025 Wanu Hafidh Ameir Mgombea mteule Ubunge Jimbo la Makunduchi awapatia Reflectors Maafisa Usafirishaji

    Maafisa usafirishaji maarufu kama Bodaboda leo wamempongeza mbunge mteule wa jimbo la Makunduchi lililopo Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Visiwani Zanzibar Wanu Hafidh Ameir kwa kuwapa reflector kwaajili ya usalama wanapofanya shughuli zao za usafirishaji Maafisa usafirishaji hao wametoa...
  6. T

    Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  7. Rashda Zunde

    PreGE2025 Maafisa usafirishaji (bodaboda na bajaji) wanasema mitano tena kwa Rais Samia

    Maafisa usafirishaji Tabora wapo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu.
  8. Half american

    Maafisa usafirishaji hii tabia yenu ya kujifanya hamna chenchi iacheni

    Habari wakuu. Kuna tabia nimeiona kwa hawa maafisa usafirishaji hasa bodaboda na bajaji, ndani ya wiki 2 nimetumia sana usafiri wao ukifika mwisho wa safari ukampa hela inayohitaji kurudi chenchi hasa tsh 500 & 1000 wengi wanasema hawana ila ukiwakazia watafute chenchi utaona kaingia mfukoni na...
  9. TODAYS

    TAARIFA MUHIMU: Kama ni Mwenyeji wa Arusha kuna bodaboda wa Kibaha amefariki, ndugu zake wanatafutwa

    Pichani anaitwa Kevin Charles. Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai. Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni. Mpaka...
  10. Travis Kitengo

    Maafisa usafirishaji

    Hii inaitwa no retreat, no surrender
  11. Samia atosha tukutane2030

    Bodaboda wanazeeka sana, ile kazi yao nahisi ni ngumu mno!

    Kuna dogo ni jirani yetu kijijini, nimempita kama miaka 12-15 Nilimwona miaka 5 imepita Kariakoo akifanya kazi kwa Wahindi na juzi nimemwona Kazini analeta bahasha akiwa na boda. Anasema aliacha kazi kwa Wahindi na kujiingiza kwenye ubodaboda. Kijana kazeeka ghafla utadhani kanizidi umri. Kuna...
  12. Suley2019

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Sare za bodaboda kuwekwa picha ya Rais Samia na Mchengerwa kuagiza madereva bodaboda waache kusumbuliwa halitaongeza uvunjifu wa sheria?

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam. Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
Back
Top Bottom