Hawa hapa
Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM
===========
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama...
Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema kushiriki, wanajisahaulisha kuwa Chadema wao wenyewe kwa maksudi na jeuri waliamua kutokushiriki...
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa?
Wanasiasa wanapohutubia kwenye Makanisa au Misikitini, wengine husema wanajenga maadili, amani na mshikamano. Lakini Je...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Wanabodi,
Harakati ya no reforms, no elections imepamba moto katika kipindi ambacho vyombo vya usalama vinaendelea kuwathibiti viongozi wa Chama cha demokrasia na maendeleo. Jitihada za viongozi hawa kuzuia uchaguzi zinaweza kuwaletea athari kubwa kwasababu harakati hii itahusisha ushawishi wa...
Wadau.
Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya.
Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea.
Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona.
Inasema; kuhakikisha kuwa...
Wakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.