Millennium Luxury Coaches is a central Florida-based manufacturer of custom luxury motor coaches, built in Sanford, Florida. All coaches are built using the Prevost commercial bus chassis. Millennium has designed custom coaches for business owners, and pro athletes which have retailed for over $2,000,000.
Sababu ni hii huyu mama kwa Mujibu wa daily news digital ambayo ni mgazeti ya serikali yalienda hadi Iramba kwa Mwigulu Nchemba wakafanya naye mahojiano anaitwa Ester ndiye mama mdogo wa PM huyu ndiye alimlea PM tangu akiwa mdogo.
SIJASEMA ndio maana yale akayaita Ester ili kumheshimisha...
Kampuni ya mabasi ya Esther Luxury Coach Limited imetangaza kurejesha rasmi huduma zake za usafirishaji wa abiria kuanzia leo Novemba 6, 2025, baada ya kusitisha safari kwa muda kufuatia changamoto zilizotokana na vurugu za maandamano ya hivi karibuni.
Kupitia taarifa yake kwa umma, kampuni...
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi.
Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya...
Hebu fikiria joto lilivyo kali unaenda kukata tiketi wanakwambia bus lao luxury lina AC.
Lakini unasafiri Tanga hadi Mtwara hakuna AC na hata baadhi ya vioo havifunguki ovyo kabisa basi letu si la kupanda pia muwe wakweli mtoe mnachoahidi wacheni utapeli kama vipi bakini huko kwenu Tanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.