Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE.
Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...