lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Lissu kufuata njia ya Dkt. Slaa CHADEMA?

    Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa.. Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika.. Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
  2. J

    CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  3. S

    LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  4. LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  5. Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

    Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye...
  6. PreGE2025 Dkt. Slaa kuchuana na Lissu urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2025? Adai kadi yake ya uanachama wa CHADEMA bado iko hai!

    Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20. Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025 Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
  7. B

    Tundu Lissu ataka watanzania kuamua hatima yao wenyewe kwa kukataa kuburuzwa

    Tundu Lissu ataka watanzania wachukue hatua kukataa ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Na Jumatano, Oktoba 30, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amewataka raia kukomesha vitendo vya kutokujali na ukatili wa polisi kwa kuwachagua viongozi...
  8. LGE2024 Vurugu kubwa ndani ya chama zimetokea Ikungi, baadhi ya Watu wanataja jina la Tundu Lissu

    Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama. Chanzo cha Habari: habarimpyatv
  9. PreGE2025 Nadhani kwa 2025 John Mnyika anafaa zaidi kugombea Urais kuliko kina Lissu na Mbowe apewe nafasi

    Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi . 1.Mjasiri 2.Mtu mwenye busara 3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka . Upinzani mtuandalie mtu huyu
  10. S

    Tundu Lissu akielekea London kuwashughulika tigo na watu wasiojulikana

    Ni habari katika picha
  11. LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  12. Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  13. Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  14. Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  15. Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  16. S

    Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

    Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake. Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
  17. Nchi inapaswa kujua aliyekuwa anapewa "Live Location" na Data za Mawasiliano za Lissu ni nani

    Shida siyo content za Lissu alizokuwa anawasiliana na hao watu, shida ni kwa nini wamfanyie "Assassination Attempt" badala ya kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria kama kweli alikuwa anafanya uhaini kwa nchi yake. Kitendo cha kujaribu kumuua kwa njia za panya inaonesha hakukuwa na dosari yoyote...
  18. Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  19. PreGE2025 Tundu Lissu mwana wa Yese amepewa kibali cha kuwaongoza Watanzania

    Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho yake. Daudi alikuwa mpakwa mafuta ambaye angali bado mdogo alipewa kibali cha kuwaongoza Wana wa...
  20. W

    Wakili wa CHADEMA: Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta

    Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. "Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…