Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??
Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya...