lissu mahakamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Tundu Lissu atinga na bakuli la chakula Mahakamani

    Wakuu Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
  2. Genius Man

    Watanzania kwa shangwe waimba rais rais wakimpokea lissu mahakamani

  3. M

    GE2025 Lissu: Kesi haijasikilizwa hata upande mmoja, tarehe ya hukumu ishapangwa. Kama kuna hukumu tayari tujue

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa Tundu Lissu amesema Hii kesi...
  4. M

    GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

    CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho. ---- Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
  5. W

    GE2025 Prof. Jay, Mnyika, Lema na mabalozi na wanachama wamefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa. Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
  6. Just Pray

    Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  7. Parabolic

    Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

    Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani. Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani. Taarifa iliyotolewa na...
  8. Mag3

    Lissu atisha...ni heri umkabili simba nyikani kuliko kumkabili Lissu mahakamani!

    Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka. Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
  9. Barca

    Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa. Kuendelea...
  10. Ngungenge

    Ushauri: Ondoa Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei, Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it. Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha...
  11. W

    PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

    Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga. "Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Lissu agoma kuzungumza na mawakili wake: Nimezungukwa na Askari, hii inawezekanaje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka. Lissu anahoji; "Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado...
Back
Top Bottom