Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa Songea, na kibakuli kikapitishwa na pesa zikachangwa na wananchi.
Je,
baada ya Lisu kukamatwa, ni nani...
Tanzania's opposition leader Tundu Lissu arrested after rally | Africanews
Tundu Lissu among Tanzania's top Chadema figures arrested in crackdown
Tanzania clamps down on opposition rally, arrests leaders.
tanzania-opposition-leader-tundu-lissu-arrested-at-rally-4996772
Tanzania arrests prominent...
Ndugu zangu Watanzania,
Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!.
Wamepigwa operesheni moja tu ya NO REFORMS NO ELECTION, wamekimbilia polisi. Hii ikuonyeshe kuwa hiki chama ni genge la watu wepesi...
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro
Pia, Soma: Mwanasheria wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kile ilichokiita kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu, kikieleza kuwa hatua hiyo ni matumizi makubwa ya nguvu na inalenga kuzuia harakati za kudai mageuzi ya kisiasa kupitia kampeni ya No Reforms No Election.
Akizungumza...
Akiwa Bungeni leo Aprili 10, 2025, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, amehoji hatua ya Serikali kumkamata mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka itoe maelezo ya kina kuhusu sababu za kukamatwa kwake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu anayedaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache...
Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na...
CCM.wana strategy za kishamba sana. Wanajua leo.watu.wako.busy na simba sasa wanatumia.upenyo huo kumkamata lissu.
Soma Pia: Polisi wamkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
Kwa kweli sisi hizo mbinu zenu za kwenda na propaganda tunazijua vizuri sana. Kauli ni.ile ile No reform No Election.
Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD
Sasa hivi, LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza, basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sana.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.