Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency from 2010 to 2020.
He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa onyo kwa raia watakaokusanyika kwenda Kisutu kushuhudia kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, ni wazi kuwa tukio hili lina mvuto mkubwa kwa jamii.
Kwa kuwa kesi za uhaini ni nadra sana kushuhudiwa nchini, hasa kwa kizazi cha vijana...
Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)
Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
Na Mwandishi Wetu
KUNA kila dalili kwamba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ‘atasota’ rumande hadi kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania, Novemba 2025.
Lissu ambaye sasa amefunguliwa kesi ya uhaini, alikamatwa na Jeshi la Polisi Jumatano iliyopita -...
Wakili wa kujitegemea Ezekiel Mwampaka amesema anakubaliana na mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutaka kutofanyika kwa uchaguzi mkuu baadaye Oktoba 2025 kutokana na kudai kugubikwa na kasoro mbalimbali na ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.
Wakili Mwampaka amesema hayo...
Sina wasiwasi kabisa kuwa mashitaka ya uhaini dhidi ya Lissu sio rahisi kuyathibitisha mahakamani na hivyo naamini katika hili shitaka hawezi patikana na hatia.
Hofu yangu ni makosa ya mtandani hasa katika kuthibisha matamshi anayodai ni ya Raisi. Hapa mawakili watapaswa kufanya kazi ya ziada...
Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi.
Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...
Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo.
Uongo wenyewe Sasa
1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya Rais.
2-Mh LISSU kusema Polisi nchini wanatumika Kuiba Kura.
3-MH LISSU kusema Majaji wa Nchi hii ni...
Kwa kiasi fulani wafuasi wa Tundu Lisu wanafanana na wafuasi wa Yesu kristo wa Kwenye biblia!
Kulingana na stori za kwenye biblia na pia video za maigizo ya maisha ya Yesu kristo za BRIAN DEACON ni kwamba Yesu alikuwa akifanya mikutano mingi ya hadhara ndani ya miji ya Yerusalemu na Galilaya...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
TAARIFA YA KUKAMATWA MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU, TUNDU LISSU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya...
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga...
Hello!
Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu.
Hivi sasa Kila mtanzania Hadi vijijini atauliza sababu ya kukamatwa Lissu na kujibiwa, "NO REFORMS NO...
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. Tundu A. Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu...
Pindi anapojitokeza lissu kutoa tamko flani utawaona watu wengi wanajitokeza kujifanya wapo pamoja nae, lakini Lissu anapowaita wamuunge mkono kwenye jambo mfano ni 23/9/2024.
Kila mmoja bila haya wala soni wanamkatalia kweupe kwa kutokuitika wito kuonyesha jinsi walivyo wanafiki hakuna hata...
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.