Katika wakati ambapo wananchi walioamka wanapaza sauti kwa umoja na msimamo thabiti wakisema NO REFORMS NO ELECTION – yaani bila mabadiliko ya kweli ya mfumo wa uchaguzi hakuna sababu ya kushiriki uchaguzi wa maigizo – chama cha ACT-Wazalendo kinakuja na kauli isiyokubalika ya "Linda kura"...
Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii.
Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
hakuna kura bandia itaingia kituoni
hakuna wakala wa...
Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.🫵🏾😂
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.