ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja ambavyo havistahili kuchezea mechi za ligi kuu

    1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi. 2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai ni kama vile huwa wanalima mpunga hapo. Orodhesha vingine.
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Asalaam Aleykum Dar es Salaam Asalaam Aleykum Tanzania Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla. Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni leo hii ya tar. 25.9.2021 majira ya saa 11:00 jioni nyasi za uwanja wa Mkapa zitashuhudia mpambano...
  3. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote)

    Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland. Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba. TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
  4. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe ratiba ya ligi kuu 2021/22 bado tu haijatoka?

    Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama?? Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december? Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Athari za TFF kutoa ruhusa klabu za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 wa kigeni

    kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
  7. JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  8. JamiiForums Tanzania Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

    Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote. Kwanza walishindanishwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia Suluhu ahudhuria mechi ya Simba na Yanga

    Rais Samia Suluhu amehudhuria mchezo wa Watani wa Jadi kati ya #Simba SC na #Yanga SC unaochezwa Uwanja wa Taifa Iwapo Simba itaondoka na alama 3 itakuwa imetawazwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  10. JamiiForums Tanzania Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara. Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni...
  11. JamiiForums Tanzania Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

    Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Simba yaweka rekodi ya timu za Bara kwa kupiga pasi 873

    Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati akichambua mechi hiyo, na kusema tangu aanze kuchambua mechi za VPL na ASFC za timu za Tanzania...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  15. JamiiForums Tanzania FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

    Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna. ======= 00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

    Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away. Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa Anashiriki UEFA Mshindi wa 2&3 hucheza Europa ligue. Timu inayoshuka daraja ni moja tu.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  18. JamiiForums Tanzania Tulizeni presha Simba SC na Yanga SC hawajaanza kukutana leo

    Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia. Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote...
  19. JamiiForums Tanzania It's official! VPL kupeleka timu 4 kimataifa msimu ujao 2021/22

    Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma Jiji FC. Mchezo inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…