Jana katika mchezo wa Simba na Coastal Union mchezaji bora kapewa Chilambo, lakini kipa wa Coastal alikuwa bora zaidi japo aliconced goli moja.
Chuma Ramadhan golikipa wa Coastal kasevu mashuti saba kati ya nane yaliyo lenga lango.
Ni sawa na mechi ya laliga jana usiku kati ya Barcelona na...