Habari wana JF,
Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana.
Wakuu mliomaliza aidha first seat...