lamine yamal

Lamine Yamal Nasraoui Ebana (born 13 July 2007) is a Spanish professional footballer from Catalonia, having arab origins, that plays as a right winger for La Liga club Barcelona and the Spain national team. He is regarded as one of the best young talents in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Lamine Yamal

    Lamine Yamal ni kijana mdogo tu wa miaka 17 sasa, ambaye tayari ameshajipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kusakata soka, ni mchezaji tegemeo Barcelona na pia juzi juzi tu ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi katika michuano ya Euros akiiwakilisha Hispania. Bahati mbaya...
  2. Tyrone Kaijage

    JamiiForums Tumwambiaje Lamine Yamal mbadala wa Tafuta hela?

    Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
  3. Suley2019

    JamiiForums SI KWELI Lamine Yamal mwenye miaka 17 ana mtoto wa miaka mitatu

    Salaam Wakuu, Nimekutana na taarifa inayodai kuwa Mchezaji Kinda wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Lamine Yamal ana mtoto wa miaka mitatu. Taarifa hii imenistua sababu Kinda huyu ametimiza miaka 17 siku mbili zilizopita (13/07/2024). Kuwa namtoto wa miaka mitatu inamaanisha alipata...
Back
Top Bottom