lamination

Lamination is the technique/process of manufacturing a material in multiple layers, so that the composite material achieves improved strength, stability, sound insulation, appearance, or other properties from the use of the differing materials, such as plastic. A laminate is a permanently assembled object created using heat, pressure, welding, or adhesives. Various coating machines, machine presses and calendering equipment are used.

View More On Wikipedia.org
  1. Sacsosanct

    Kuondoa lamination kwenye vyeti

    Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kuondoa au sehemu wanayoondoa laminagion kwenye vyeti bila kuharibu ubora wake.
  2. Dalton elijah

    Je, unafahamu kuwa kufanya lamination ya nyaraka zako kunaweza kuharibu thamani yake ya kisheria?

    Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
  3. kikoozi

    Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  4. R

    Kama umeme ukikata wakati umeenda stationary kufanya lamination, cheti au nyaraka muhimu ikaharibiwa, nani anawajibika ?

    lamination ni zoezi la kujaladia vyeti ili viwe na uimara wa muda mrefu, visiharibiwe na maji, uchafu, mikunjo, n.k. Umeenda stationery kufanya lamination (Kujaladia) cheti cha elimu, hati ya nyumba / shamba, leseni ya tenda, n.k. MARA PAAAP !! umeme unakatika, mashine yenye moto mkali...
  5. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000) 2. Lamination...
  6. E

    Inawezekana ku-relaminate cheti ambacho kipo laminated na kikasomeka vizuri?

    Naomba kuuliza. Hivi uki re- laminate cheti kilicholaminat-iwa, may be lamination ya mwanzo imechoka, maandishi yataendelea kuonekana vizuri! Au yatapauka? Na je kitakuwa imara au ndo yaleyale?
  7. E

    Jinsi ya kuondoa lamination kwenye document

    Naombeni kuuliza, hivi unaweza kuondoa lamination kwenye cheti kilicholaminate-iwa? Hivi hizi stationary zetu haziwez fanya hiyo kazi?
Back
Top Bottom