Wakuu,
Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini.
Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani.
"We have to stop pretending that countries that just hold an election...
Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano.
Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake.
Ndio maana wanaojinyonga , walio...
Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi.
Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana.
Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu .
Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b
Kupitia kingamuzi cha azamz,zuku, continental decoder na milan cable arusha channel 204
Gharama zetu ni kama...
Kabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.