kwenda kwa waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

    Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma jiongezeni kivingine kwenda kwa waganga na majungu kazini ni maisha ya kujifariji tu

    Kwanza niwaambie, sisi Gen Z hatuna cha kupoteza na tuko tayari kufanya chochote ili tuingize pesa. Hiki kizazi chetu ni kizazi cha kufa na kupona, yaani afe kipa au beki lazima ushindi upatikane. Sasa narudi kwenu, nyie brothers na sisters kizazi cha 80’s. Wengi wenu mlipata bahati ya kusoma...
  3. T

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushirikina Sio Kuabudia Mizimu na Kwenda kwa Waganga tu!!

    Watu wengi wanafikiri ushirikina ni kuabudia mizimu na kwenda kwa waganga kutambika tu. Lakini ukweli ni kwamba hata kumuhusisha mwanadamu na mambo yanayohusu kudura na uweza wa mwenyezimungu ni ushirikina vilevile. Tena huu ndio ushirikina mbaya maana unahusisha dhati na uwezo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

    Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
  7. JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Swalama Wananzengo. Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho. Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hizi dini zipo kujisafisha tu, watu wengi bado wanaendelea kwenda kwa waganga na kuendeleza matambiko ya mizimu

    Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi. Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  10. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu wa kwenda kwa Waganga kwa Mwaka mmoja

    Salam, Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa." Hali hiyo nimeipitia kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…