Kuna tabia nimeiona kwa baadhi ya watu kwenye maisha ya kawaida. Siyo mara moja nimekutana na scenario ya unakuta mtoto wa kiume/mwanaume anamchukia baba yake kwa sababu alimwacha mama yake akiwa mdogo au akiwa tumboni.
Utasikia, “Unajua mimi hatuna maelewano na mshua/mzee kwa sababu...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa.
Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula.
Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
Wataalam wa mambo ya anga na hali ya hewa wanadai mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi msimu huu wa masika zinatokana na misitu ya Congo na afrika ya kati kwa ujumla.
Nawapongeza wanaharakati wanaopigania kulinda misitu duniani hasa Amazon, Afrika ya kati na Asia na kuhamasisha upandaji wa...
Donald Trump
Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa
Kim Jong Un
Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote.
Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc
Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali.
Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo.
Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake
Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima
Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu
Wanaomvunjia...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu.
Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana amewauwa na sio kwasababu walichoma vitu au kupiga askari na hawakuwa tishio kivyovyote hata hivyo...
Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu.
lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
Ndugu zangu waislam na wakristo
Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali.
Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko
Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui kuwa wageni hao wanatafuta soko la silaha na ardhi ya ziada
Hao wageni wanaoungana nao wanataka...
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.
Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao
Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu
Jifunzeni kutatua...
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha
Napenda vijana waishi na sio wafe
Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono
Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.