kwa majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  2. JamiiForums Tanzania Hapa unawajua wachezaji wangapi kwa majina, wataje

    Hiki ni kikosi cha Yanga miaka ya 2000. Unawajua wangapi kwa majina, wataje tuone…
  3. JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

    Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
  5. JamiiForums Tanzania Sio "Kwa Majina" ila ni "Kwa Jina"

    Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…