kuzimwa intaneti tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Ripoti: Tanzania ilipata hasara ya Tsh. bilioni 637.8 baada ya kuzimwa mtandao Oktoba 29, 2025

    Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8 Hayo yamebainishwa kwenye Ripoti ya Tathmini ya Utawala wa Mtandao 2025, iliyochambua uadilifu na uhuru wa...
  2. JanguKamaJangu

    Intaneti ni tishio kwa Watawala au tatizo la uelewa wa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi kumegeuka kuwa jambo la kawaida katika baadhi ya nchi za Afrika. Mataifa kama Tanzania na Uganda yameshuhudia kufungwa kwa mitandao ya kijamii au kuzimwa kabisa kwa huduma za intaneti kipindi ambacho wananchi wanahitaji taarifa...
  3. Amba Samedi

    PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

    Habari wanaJF, Ni siku nyingi sana sijazungumza humu. Nimekuwa tu zangu macho kufuatilia matokeo ya uchaguzi na ghasia na fujo zilizotokana na uchaguzi huu. Jamani, Mungu awape utulivu waliopoteza wapendwa wao katika matukio haya ya kusikitisha, na amani itawale nchini Tanzania. Tanzania...
  4. R

    GE2025 George Musamali: Walitarajia watu wa Bara ni watulivu, kuzimwa kwa Intaneti linachochea uchafuzi zaidi Tanzania

    Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa? Alieleza kuwa ilitarajiwa kuwa watanzania wa Bara ni watulivu na hata mamlaka mbalimabali za...
Back
Top Bottom