kuwania ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Festo Kiswaga, aliyekuwa DC Monduli mkoani Arusha, achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Isimani, Iringa

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Festo Kiswaga, amejiingiza rasmi katika mbio za kisiasa kueleka uchaguzi mkuu 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  2. Just Pray

    GE2025 Dkt. Seria Masole Shonyela achukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole

    Dkt. Seria Masole Shonyela amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole kwa dhamira ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote, bila ubaguzi. Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo, Dkt. Shonyela amesema ana nia thabiti ya kushirikiana na wananchi katika kutatua changamoto mbalimbali...
  3. Just Pray

    GE2025 Salome Sengo Achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Lupa

    Salome Sengo Amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Lupa Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Kilolo Justin Lazaro Nyamoga achukua fomu kuwania Ubunge kwa awamu nyingine

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilolo alielekea kanisani kumshukuru Mungu kwa zawadi...
  5. McLaren

    PreGE2025 Tabora: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Gulamali achukua fomu ya kuwania Ubunge

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga wilayani Igunga, Seif Gulamali amejitosa tena kuchukua fumo ya kuwania nafasi hiyo. Gulamali amekabidhiwa fomu hiyo leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Igunga Mkoa wa Tabora na Ebenezer Ole Mainoya, Katibu wa CCM wilayani humo.
  6. Waufukweni

    GE2025 John Jilili achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa, Shinyanga kupitia CCM

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Jeremiah John Jilili amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Jilili sasa ni rasmi atamvaa mbunge wa jimbo hilo aliyehudumu kwa miaka 20 sasa Ahmed Salum Ally, na hii itakua ni...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Lovenes Sarungi, ajitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lovenes Sarungi, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga, akisisitiza dhamira yake ya kuwatumikia vijana na kulitumikia taifa kwa ujumla. Sarungi, ambaye ni mtumishi wa umma na mkazi wa Mkinga, amesema...
  8. W

    GE2025 Aliyekuwa Katibu wa Rais Magufuli, Ngussa Samike ajitosa kuwania ubunge jimbo la Sengerema

    Aliyekuwa Katibu wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Ndugu Ngussa Samike leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua Fomu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge, Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza katika...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Patali S Patali achukua fomu kutia nia kuwania ubunge jimbo la Mbeya Vijijini

    Wakati mchakato wa kuchukua fomu Kwa ajili ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi ya Uraisi, ubunge na udiwani kwenye Uchaguzi unaotarajia kufanyika octoba mwaka huu, watu mbalimbali wamejitokeza katika zoezi Hilo lililoanza Leo June 28. Patali Shida Patali ambaye ni mjumbe wa...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Emily Sanga ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Uyole kushindana na Tulia Akson

    Emily Noah Sanga amechukua Fomu kugombea Ubunge katika jimbo jipya la Uyole. Itakumbukwa pia Tulia Akson Mbunge wa Mbeya mjini anayemaliza muda wake alitangaza nia ya kugombea ubunge kupitia jimbo la Uyole
  11. MHP

    GE2025 Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele achukua fomu Dodoma Mjini

    Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini. Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
  12. Kabende Msakila

    Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  13. McLaren

    PreGE2025 ACT Wazalendo wathibitisha Sheikh Ponda kugombea Jimbo la Temeke

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anatarajia kuchukuwa fomu ya kukombea ubunge na atawania nafasi hiyo katika jimbo la Temeke. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Juni 23, 2025 kwa umma na ACT Wazalendo, Sheikh Ponda atachukua fomu saa tano asubuhi...
  14. mdukuzi

    Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  15. R

    PreGE2025 Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini. Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana Juni 16, 2025 katika kikao Cha kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kata...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mtangazaji Mkongwe Baruan Muhuza atangaza nia ya kuwania Ubunge Kigoma Mjini, awaomba wananchi wajiandae kumpokea

    Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini. Ikumbukwe kuwa pia hivi karibuni msanii na Mtangazaji wa...
  17. Area 56

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  18. SSH2025_2030

    Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
  19. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mdau: Mgombea Urais wa pili kwa wingi wa kura awe Mbunge moja kwa moja

    Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi. My Take Binafsi naunga mkono wazo hili ila Sasa shida ya kususa ya nyie Machadema ndio zinawatokea Puani. In...
Back
Top Bottom