kuvunja sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  2. JamiiForums Tanzania Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wetu ndio wanaongoza kuvunja sheria?

    Kuna msemo polisi wanao Tii sheria bila shuruti. Lakini wao hawatii hizo sheria hata kidogo. Ndio wanaongoza kula rushwa Kubambikizia watu kesi. Kufanya ukaguzi wa mtuhumiwa bila kua na warant toka mahakaman. Wanakubambkia dawa za kulevya humo. Kunyanyasa wananchi imekua ni jadi yao. Na hali...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 632 kwa kuvunja sheria ndani ya wiki tatu

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
  5. JamiiForums Tanzania Magari ya dharura ni yapi, na je yanaruhusiwa kuvunja sheria?

    [Kifungu cha 54 cha Sheria ya Usalama Barabarani] 1. Bila kujali vifungu vya sheria ya Usalama Barabarani na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 54, dereva wa gari la dharura, ikiwa ataona kuwa kuzingatia sheria kutazuia matumizi ya gari la dharura kwa kusudia lililotarajiwa, anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…