kuvunja ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  2. Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  3. Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,, kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika -Kukosa amani ndani ya ndoa...
  4. Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  5. Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

    Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na mkimbizi wa Ukraine, Sofiia Karkadym aliyempenda ndani ya siku 10. Tony na mkewe Lorna Garnett...
  6. Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

    Tubadilike mtu akishaoa au akiolewa waacheni waishi maisha yao,watu wameoana tayari mshaenda kujazana kuishi hapo mara bibi,sijui shangazi, sijui shemeji, acheni wanandoa waishi kwa uhuru mnawabana, mara waletewe mtoto sijui wa nani walee, acheni wanandoa waishi wenyewe kusalimiana iwe mara moja...
  7. Hivi ni kwanini unakubali kuvunja ndoa yako?

    Cha mno ni nini hasa? Nini matarajio yako nje ya ndoa yako uliyonayo sasa? Ninini?, kwamba uliamini kwamba mwenzi wako ni malaika? Au unaamini kwamba ukimwacha huyo then utampata mtakatifu asiyekukosea, asiye saliti wala kukuudhi au uliaminishwa kwamba anayekuoa au umuoae atakuridhisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…