kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini wanawake na wasichana wanapenda sana kutoboa pua na kuvaa vipini siku hizi?

    Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
  2. Pendelea kuvaa rangi ya mkanda inayofanana na viatu

    Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye[emoji123]
  3. Kwanini watu weusi wanapenda sana kuvaa kwa fasheni na kujipamba?

    Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke. Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana...
  4. Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…