kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.
Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kasi ya uwekezaji wa Mabilioni kwa mabilioni ya pesa unaofanywa na Rais Samia katika secta ya kilimo, kwa Mapinduzi ya kilimo yanayofanywa na Mama ,Kwa hatua zake za kuongeza Bajeti ya kilimo kufikia zaidi ya Trilioni moja point tisa, kwa kasi yake ya kuvutia...
Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.