kutingisha makalio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

    Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera. Tunaweza tukasema ni burudani tu...
  2. Ndondombi Mulin

    Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  3. ndege JOHN

    Sababu 5 kwanini wanawake wanapenda kutingisha makalio

    Kwanza kutingisha makalio ni kitendo cha kuonyesha kipaji cha kucheza. Siku hizi ni rahisi kumuona hata mtoto wa miaka mitano akicheza kwa kukatika. Sababu zinazofanya dada zetu watutingishie makalio ni pamoja na. 1. Muonekano wa kimahaba Anapokatika mwanamke humvutia mwanaume na kumsisimua na...
Back
Top Bottom