kuteua watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    CCM ikikosea kuteua watu sahihi, majimbo yafuatayo yatachukuliwa na upinzani

    1. Arusha. 2. Bumbuli. 3. Piramiho. 4. Kibamba. 5. Kisesa. 6. Kigoma mjini. 7. Simanjiro. 8. Iringa mjini. 9. Bunda. Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi. Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
  2. Nyani Ngabu

    Kuteua watu kabla ya kuwajulisha: Wapi kwingine duniani wanafanya hivyo?

    Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea]. Kateua mtu ambaye keshakufa! Hii ni aibu sana. Ni...
Back
Top Bottom