kusini pemba

Pemba South Region or South Pemba Region (Mkoa wa Pemba Kusini in Swahili) is one of the 31 regions of Tanzania, covering an area of 332 km2 (128 sq mi). The region is comparable in size to the combined land area of the nation state of Grenada. and the administrative region is located entirely on Pemba island. Pemba South Region is bordered to the south by Indian Ocean, north by Pemba North Region and the west by Pemba channel. The regional capital is Mkoani.. The region has the fifth highest HDI in the country, making one of the most developed regions in the country. The region has the highest standard of living on Pemba Island. According to the 2022 census, the region has a total population of 271,350.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    GE2025 Kusini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kusini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kusini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni: Chake Chake - Nassor Said...
  2. J

    PreGE2025 Shamira achangia ujenzi wa nyumba ya mtumishi Mkoa wa Kusini Pemba

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa Zanzibar kwenye muendelezo wa ziara yake amefanya zoezi la ukaguzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kusini Pemba. Akiwa katika kikao hiko cha ndani Mshangama alisisitiza viongozi vijana kufanya kazi kwa...
  3. upupu255

    PreGE2025 Rais Mwinyi afutarisha wananchi wa mkoa wa Kusini Pemba na kukabidhi sadaka mbalimbali

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa, Masheikh, na Maimamu wa Misikiti wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari ya pamoja alioiandaa. Kupata...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Pemba: Polisi wachunguza vifo vya watu wawili waliofariki dunia wakipatiwa matibabu hospitali ya Ali Khamis Camp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba linafanya uchunguzi wa vifo vya watu wawili ambao walifariki dunia wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Ali Khamis Camp Vitongoji Chake Chake Pemba. Watu hao ni: Othman Hamad Othman miaka 75 mshirazí na mkazi wa Kimango-Kiungoni Wilaya ya Wete...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 Kusini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake. Mkoa una wilaya mbili tu, ambazo ni Mkoani na Chake Chake Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 idadi...
Back
Top Bottom