kusimamishwa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aelekeza kusimamishwa kazi Watumishi 14 wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha Muheza - Tanga

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, Kwa mujibu wa Kanuni ya 37(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS kuwapumzisha kutekeleza majukumu yao watumishi 14 wa Halmashauri hiyo...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  4. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

    Habari wana Jf kwa ujumla. Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max. Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha. First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
Back
Top Bottom