kushiriki uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  2. JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  3. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF yasisitiza kushiriki uchaguzi, yawaalika G-55 kuchukua fomu

    Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho. G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti INEC: Tafsiri ya mwisho kuhusu Chadema kushiriki uchaguzi ni ya Mahakama

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida awasihi vijana wote kushiriki uchaguzi mkuu

    ✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

    1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali. 2. Nani hupaswa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Kuwazuia kushiriki uchaguzi ni kuwanyima haki ya kisiasa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu akieleza mkakati wa chama hicho kufungua kesi za kupinga kanuni za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zilizosainiwa leo, Jumamosi Aprili 12.2025 jijini Dodoma akidai kuwa ni kandamizi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…