Hii imenitokea leo, nilienda kubadili laini ya Vodacom ili nipate laini ya 5G, wakala akaniambia niweke finger print, niliweka mara mbili baada ya kusema mara ya kwanza nilikosea. Baada ya kumaliza zoezi hilo na kuondoka pale, nilipokea ujumbe mfupi kutoka Airtel kuwa nimesajili laini mpya ya...
Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili.
Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa