Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kusababisha mateso makubwa kwa raia wa kawaida katika maeneo...