kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Funzo kutoka kwangu binafsi: Dini, utii, heshima, kusaidia/kujitoa na bidii ni nguzo muhimu maishani

    Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi. Nimeona vyema kuliweka hapa kama sehemu ya kujifunza katika kutekeleza azma ya Mtandao huu wa JamiiForums...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Ni wajibu wetu kujitoa kuwasaidia watu wenye mahitaji muhimu katika jamii

    JF Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni Chakula, malazi na mavazi,, katika jamii yetu hii kuna watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania EU yatoa mamilioni kusaidia mradi wa Eco - Fish ziwa Victoria

    30 June 2021 Dar es Salaam, EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  6. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

    Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19 Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…