kurekebisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

    Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya. Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit. Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
  2. M

    Naomba kufahamishwa namna ya kurekebisha michango yangu NSSF

    Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo. Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF...
  3. J

    Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  4. Msaada, namna ya kurekebisha jina la awali lifanane na la kwenye NIDA

    Salamu wakuu Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii. Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf. Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
  5. L

    Haja ya kurekebisha baadhi ya sheria ili kuongeza ufanisi wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko. Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
  6. Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

    Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano. Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita. Ukitazama safu ya uongozi katika...
  7. CPJ yamtumia ujumbe Rais Samia Suluhu kumtaka kurekebisha Sheria nne ili kuwalinda Waandishi

    Her Excellency Samia Suluhu Hassan President of the United Republic of Tanzania President’s Office, State House 1 Julius Nyerere Road Chamwino, Dodoma June 14, 2021 Sent via email: press@ikulu.go.tz, ikulu@ikulu.go.tz Dear President Samia Suluhu Hassan, We at the Committee to Protect...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…