Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameibuka mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora, baada ya kuzoa kura 6,274 na kuwaacha kwa mbali wapinzani wake akiwemo Mbunge aliyemaliza muda wake Selemani Jumanne Zedi, ambaye amekuwa wa tatu kwa kupata kura...