Ijumaa, Agosti 28, shughuli za biashara katika sehemu za Nairobi CBD, Kamukunji, Gikomba na Nyamakima ziliathirika baada ya wafanyabiashara kufunga maduka yao na kuandamana kupinga kiwango kipya cha tathmini ya forodha kilichowekwa na Kenya Revenue Authority (KRA).
Kiini cha maandamano hayo ni...