kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katika vitu ambavyo nchi nyingi hazijakubali ni kupiga kura kwa mtindo wa kidigitali

    Tuanze kujiuliza kwa nini Digital election vote nchi nyingi zinaogopa ! Tutambue teknolojia kufikia kiwango cha kuhudumia mamilioni ya watu na bila kukosea landa itokee tatizo lilosababishwa na binadamu kama kudukua, kukata mawasiliano na n.k. Nchi nyingi bado zinatumia mfumo ambao kila mtu...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

    Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
  3. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Ongezeko kubwa la Wasiopiga Kura katika Uchaguzi Mkuu. Nini kifanyike?

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba,Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…