kupatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Sheria kama hii haiwezi kufikiriwa kutungwa Nchini Tanzania kwani tumechoka kupatwa na 'Vinyaa' kila wakati?

    Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi...
  2. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuangalia kupatwa kwa jua kesho Jumapili asubuhi

    Habari zenu wote, Hizi ni tovuti pakupata video za maelezo kuhusu kuptwa kwa Jua kesho asubuhi kuanzia alfajiri hadi saa tatu asubuhi pamoja na njia za kuona tukio la kupatwa kwa kutumia vifaa vya kawaida vya kupatika majumbani. T Tukio ni kesho alfajiri Jumapili tarehe 20 Juni, 2020, mara tu...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Je, Mwezi unazunguka dunia kwa mwendo usiobadilika 'constant speed'? Inakuwaje tunakuwa na muda tofauti wa kupatwa kwa mwezi au jua?

    Wakuu habarini muda huu! Najua JamiiForums kuna watu wenye maarifa mengi ya kila aina, hivyo naombeni msaada wenu kunielewesha jambo hili Leo usiku hadi kuelekea kukucha kwa kesho kunatarajiwa kuwa na historia mpya kwenye hii dunia kuwa tukio la kupatwa kwa mwezi la leo litakuwa la muda mrefu...
  4. njiwaji

    JamiiForums Tanzania Mwezi kupatwa mfifio kesho usiku Ijumaa Juni 05, 2020 - penumbral lunar eclipse

    Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10. Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...
Back
Top Bottom