kupatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Netflix kupatikana bila malipo nchini Kenya

    Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya. - So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18...
  3. JamiiForums Tanzania Kupatikana Katiba Mpya katika taifa lolote huambatana na matukio mabaya, maumivu makali

    Mimi nawashangaa sana wanachama CHADEMA na wafuasi wao kwa ujumla kulalamika mitandaoni kwa kukamatwa kwa sababu ya kudai katiba mpya, katiba mpya duniani kote hupatikana kwa maumivu makali sana yanayoambatana na watu kuumizwa na hata wengine kupotea.Kama mnadai katiba mpya haifikirii haya bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…