kupata maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  2. M

    Vitu muhimu kwa nchi kupata maendeleo

    WanaJF, Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo. Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo; Ardhi Watu Siasa safi Uongozi Bora Tukijadili kidogo tunaona ardhi tunayo tena yenye rutuba kuliko nchi nyingi Afrika. Watu...
  3. Chaliifrancisco

    Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine. Iko hivi. Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu...
  4. Sumbaye

    Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  5. R

    Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  6. MamaSamia2025

    Kwa hii aina ya demokrasia tunayolazimishwa kuifuata, itachukua miaka mingi sana kupata maendeleo

    Nimetafakari sana nimeona hii demokrasia tunayolazimishwa kuifuata inazidi kutudidimiza. Iko kinyume kabisa na shughuli za maendeleo. Mabeberu waliona mbali sana kwa kutuaminisha kuwa WENGI WAPE. Na kuna wengine wana msemo wao wenye utata usemao "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"... binafsi...
  7. L

    Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  8. Pascal Mayalla

    Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  9. mwanamichakato

    Nchi inahitaji viwanda vingi vikubwa kupata maendeleo

    Recent research confirms manufacturing has been immensely important to the prosperity of nations, with over 70% of the income variations of 128 nations explained by differences in manufactured product export data alone. Any increase in production leads to economic growth as measured by GDP...
Back
Top Bottom