kupandisha watumishi madaraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wasiopanda madaraja tatizo liko kwenye ofisi zao walizoajiriwa. PEPMIS haijatumika mwaka huu kupandisha watumishi madaraja

    Wahanga wakubwa ni watumishi wa serikali za mitaa. Local government zinaendeshwa ki locally sana. Nimeona mtu ambaye mpaka sasa ana 20% tu za PEPMIS na hizo alizijaza mwaka jana ili apate mkopo bank. Na alipopata tu mpaka sasa hajajaza tena zile asilimia za ESS. Lakini mwezi May kapanda daraja...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
  3. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Watakaoshindwa kukamilisha zoezi la kupandisha watumishi madaraja kuchukuliwa hatua

    Update from OR TAMISEMI Watakaoshindwa kukamilisha zoezi la kupandisha watumishi madaraja kuchukuliwa hatua - Prof Shemdoe Na Raphael Kilapilo - Dar es Salaam Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Profesa Riziki Shemdoe amesema atachukua hatua kwa...
Back
Top Bottom