Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaomba wakuu wa Mikoa ambao maeneo yao itafanyika mikutano ya maafisa habari kuandaa maeneo kwa ajili ya shughuli ya upandaji miti ili kuunga mkono ajenda ya kitaifa ya uhifadhi wa...
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe amekua Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa kuelekea maadhimisho ya kumi na moja {11 ya siku ya Wanyamapori Duniani ambayo kitaifa yanafanyika leo Tarehe 3 Machi 2025, Kitaifa Jijini Dodoma.
Uzinduzi huo umefanyika shule ya sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.