kupanda kwa nauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee makoti

    LATRA na kupanda kwa nauli

    Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
  2. DuaZaMama

    LATRA: Kupanda kwa nauli ya mwendokasi hakuhusiani na matukio ya Oktoba 29

    Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema ongezeko la nauli ya Mwendokasi kutoka TZS 750 hadi TZS 1,000 hakuhusiani na matukio ya Oktoba 29, 2025. Pia Soma: KERO - LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa? LATRA: Serikali imeridhia...
Back
Top Bottom