kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

    Tangu uhuru Marais wote kabla ya mama Samia walikuwa wanaume, lakini sijawahi kusikia Rais kaitisha mkutano wa wanaume tu. Kazi yetu ni kuondoa vikwazo vya elimu, mikopo na fursa nyingine kwa wanawake lakini sio kupandikiza chuki kwa wanawake dhidi ya wanaume ambao kwa miaka mingi wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana kuona tumefika stage hii...

    Inaumiza Sana Kuona Tumefika Stage Ambayo,👇 Tunashindwa kuamini watu,kwa kuhofia kusalitiwa na kuonekana wajinga. Tunaogopa kupenda kwa kuhofia kuumizwa. Tunaogopa kueleza hisi zetu,kwa kuhofia kuchukuliwa vibaya, Au Kuanza kudharauliwa na kuhudumiwa vibaya. Tunaogopa kueleza ynayotuumiza...
  3. JamiiForums Tanzania Kama huwezi kuona namba iliyoandikwa hapa basi unaumwa ugonjwa husika

    Soma namba vizuri hapa, kama huwezi kusoma namba moja wapo basi unaumwa ugonjwa ulioandikwa chini ya namba hiyo.
  4. JamiiForums Tanzania Aina za vyakula vitakavyoboresha uwezo wako wa kuona

    Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama. Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa muda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…